SHOW / EPISODE

Jinsi ya kuwa Self Obsessed

Episode 2
16m | Jan 23, 2026

Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,

sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.

Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.

Utajifunza 

–Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke

– Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia

– Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla


Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike

episode hii ni kwa ajili yako.

Paused
Audio Player Image
Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Loading...